Mtume Apostle Samweli kisinza ameongoza Ibada ya Kuliombea Taifa Pamoja na kumwombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Pamoja na Makam wake na Mawaziri wakiongozwa na Waziri Mkuu Pia nawa watendaji wote wa Serikali ngazi zote Tukio Ilo lilifanyika katika Kanisa la CAG UZIMA TELE MWANZA
Post a Comment