Na Belnardo Costantine, Misalaba Media
Msemaji mkuu wa Serikali Gerson msigwa amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ujenzi wa ukumbi mkubwa (Arena) wenye uwezo wa kubeba watu elfu kumi (15) Kawe Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa Habari Gerson Msigwa amesema amekuwa akipokea malalamiko kadhaa kutoka kwa wasanii mbalimbali kuhusiana na suala la ujengaji wa ukumbi huo "Arena" utakaotumika kwenye masuala ya kiburudani na shughuli mbalimbali
" kuhusu ujengwaji wa Arena leo napenda kuwtoa hofu wasanii wote Serikali tayari imepata bajeti ya kutengeneza ukumbi huo na hivi karibuni utaanza kutumika"
Alisema Gerson Msigwa.
Safari ya Ladha: Ubora wa East African Spirits (T) Ltd
Post a Comment