" “Nilishtushwa usingizini na maumivu makali,” jamaa asimulia

“Nilishtushwa usingizini na maumivu makali,” jamaa asimulia






Tuliishi kwa upendo baina yangu na mke wangu, tuliaminiana kwenye ndoa na kila mmoja wetu alipotaka kufanya jambo kwa mfano kufungua biashara mpya tungejadialiana kwa pamoja bila ya mvutano wowote.



Hali ilikuwa shwari kabisa katika ndoa yetu kwani hakuna lolote lililotukwaza kama wapenzi, mambo yalianza tu kubadilika wakati ambapo mke wangu alipata tenda ya kusambaza vyakula katika ofisi za Kauti tuliyokua tukiishi naye kwa wakati ule.

Nilianza kutilia shaka uhusiano wetu naye kwa sababu alianza kupokea simu nyingi zaidi hata wakati wa usiku, mara nyingi alijificha ila kuzunngumza na waliompigia simu. Sikufurahishwa kabisa na tabia ile kwani nilijiambia moyoni alikuwa na mipango ya kando aliyoipata kazini pale.

Sikusita kumuuliza mbona alikuwa amebadilika kwa namna ile kwa sababu tabia ile haikunifurahisha kama mume wake halali kulingana na vyeti vya ndoa tulivyopokea kanisani.

Nilitaka afanye mambo hadharani kama yalikuwa ni halali lakini tabia ya kujifugia chooni anapopigiwa simu ama kutoka nje ya nyumba kila mara simu inapoita iliendelea kwa muda.

Sikuwa na budi kama kiongozi wa nyumba kuwa na msimamo dhabiti na kukomesha tabia ile kwani niligundua fika ingeniharibia ndoa yangu ambayo ilikua ingali changa, kwani tulikua tu tumeaona kwa muda wa miezi minane.

Muda ulivyosonga tabia za mke wangu pia zilikua zimeanza kuoza ajabu, alianza kuja nyumbani usiku wa manane na nilipomuliza alipokuwa ilikuwa na vurugumechi na nyumba yetu ilikuwa ni kutupiana makonde na aliye na nguvu ndiye aliyeibuka kulala nyumbani.

Hali ilikuwa mbaya zaidi kwani nilipata nimemjeruhi vibaya pia naye hakuachwa nyuma kwani alama alizonipa zilinitia kiwewe, kwani ilikua vigumu hata kukodi gari kuelekea kazini kwani ungedhani nilikua nimepata ajali ya kugongwa na gari moshi.

Majirani walibaki kuona sinema ya bure kwani wengi wao walifurahia mke wangu akinipiga makonde na kila mara aliponilemea walishangilia kwa furaha.

Ama kwa hakika ilikuwa ndoa iliyokua si ya kutamaniwa na mtu yeyote ambaye alikuwa na mipango ya kuoa karibuni, tulijaribu kuzungumza na wazazi ile tupate suluhisho la migogoro yetu ya kila mara lakini yote yaliambulia patatupu kwani hamna lolote ambalo tulizingatia.

Tabia ya mke wangu ilinichosha hapo nikajitosa kwenye ulevi, kila nilipo toka kazini nilipitia kwa mama Pima ili nibugie pombe ili inipe ujasiri wa kumkabili mke wangu kwani yeye pia alikuwa ni kisiki.

Siku moja nilikua nimelewa chakari, nilipoingia chumbani nilipata mke wangu ametulia hali ambayo haikua ni kawaida yake, jambo linilonijia akilini nilidhani kuwa alikua na maumivu kwani haikuwa kawaida yake kutulia jinsi ile.

Aliandaa chakula tukala, nilitangulia kwenda kulala chumbani kwani nilikuwa nimepiga maji ajabu.

Alionekana kabadilika kwani hakuwa na mengi ya kuongea, usiku mwendo kama saa nane hivi nilishtushwa usingizini ni unyevunyevu ambapo uliandamana na uchungu fulani katika sehemu zangu za siri.

Alikuwa amening’ata na damu ilikuwa imelowa kitandani. Nililia kwa uchungu kwa sababu pombe ilikua imenitoka akilini. Majirani waliwasili kunisaidia ambapo nilikua nimevuja damu nyingi.

Hospitalini nilifanyiwa upasuaji ambapo madaktari walisema singeweza tena kufanya tena tendo la ndoa. Jambo hilo lilinidhofisha sana kimawazo kwani nilikuwa bado barobaro na kwenye harakati za kutafuta mtoto. Katika vituo vyote vya afya nilivoenda waliniarifu vile tu kua kufanya tendo la ndoa ingekua ni vigumu.

Nilipatana na Sam ambaye alikua ni rafiki wangu wa kale pale chuoni, nilimwelezea masaibu yangu akanielezea kuwa alikua na suluhisho na ilikua twende kwa Kiwanga Doctors kwani walikua na uwezo wa kunisaidia kwa hali yoyote ile.

Siku iliyofuatia tulienda kwa Kiwanga Doctors ambapo nilihudumiwa, baada ya kurejea nyumbani mke wangu alikua kesharudi jambo ambalo pia lilinishagaza.

Usiku ule tulikula uroda naye kwani ilikua ni muda mrefu tangu kisa kilipotokea. Ama kwa hakika Kiwanga Doctors kutokea Migori nchini Kenya walikua wamesaidia kuvunjika kwa ndoa yetu.

Mke wangu alienda hospitalini na alipopimwa alipatikana ni mjamzito wa wiki tatu. Yeyote aliye na matatizo ya ndoa na anahitaji suluhisho la haraka anapaswa kuwatembelea Kiwanga Doctors kwani uwezo wao si wa kubahatisha kamwe.

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.

Post a Comment

Previous Post Next Post