" RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI ARUSHA

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI ARUSHA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono waandamanaji kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 08 Machi, 2025. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 08 Machi, 2025. 
  
Matukio mbalimbali kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 08 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwaajili ya kushiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika Jijini Arusha tarehe 08 Machi, 2025.  
Maandamano ya Wanawake kutoka Taasisi mbalimbali za umma na binafsi yakipita mbele ya Jukwaa kuu kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 08 Machi, 2025.

Safari ya Ladha: Ubora wa East African Spirits (T) Ltd

Post a Comment

Previous Post Next Post