
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.


Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Taifa Bw. Murshid Hashim Ngeze mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa 39 wa ALAT uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.







Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.



Post a Comment