HomeHABARI RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA MAGEUZI KATIKA SEKTA YA MAJI Misalaba March 22, 2025 0 Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo ya Kitaifa ya Mageuzi katika Sekta ya Maji (Game Changer), kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kuleta mabadiliko kwenye sekta hiyo, iliyotolewa na Wizara ya Maji katika Maadhimisho ya Wiki ya Maji 2025 yaliyofanyika Mlimani City, Dar es Salaam. You Might Like View all
Post a Comment