" RAIS SAMIA AWASILI NAMIBIA KWA AJILI YA UAPISHO WA RAIS MPYA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 35 YA UHURU

RAIS SAMIA AWASILI NAMIBIA KWA AJILI YA UAPISHO WA RAIS MPYA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 35 YA UHURU

Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais wa nchi hiyo, Netumbo Nandi-Ndaitwah leo.

Sherehe hizo pia zitaambatana na maadhimisho ya miaka 35 ya Uhuru wa nchi hiyo ambapo Rais Dkt. Samia amealikwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe hizo.

Post a Comment

Previous Post Next Post