HomeHABARI RAIS SAMIA AZINDUA SERA MPYA YA MAJI 2025 KATIKA KILELE CHA WIKI YA MAJI Misalaba March 22, 2025 0 Rais Samia Suluhu Hassan leo Machi 22, 2025 ameshiriki kwenye Sherehe za Kilele cha Wiki ya Maji 2025, zilizoambatana na uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. You Might Like View all
Post a Comment