HomeHABARI RAIS SAMIA KUFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA JAMHURI YA NAMIBIA Misalaba March 20, 2025 0 Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika Jamhuri ya Namibia Machi 21, 2025 ambapo atahudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo, Netumbo Nandi-Ndaitwah.Rais Samia amealikwa kama mgeni rasmi na anatarajia kuhutubia kwenye sherehe hizo zitakazofanyika sambamba na Maadhimisho ya Miaka 35 ya Uhuru wa Namibia You Might Like View all
Post a Comment