" REA YAENDELEA NA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI KWA BEI YA RUZUKU MKOANI TANGA WILAYA YA MUHEZA KATA KWA KATA

REA YAENDELEA NA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI KWA BEI YA RUZUKU MKOANI TANGA WILAYA YA MUHEZA KATA KWA KATA

📌Mitungi 26,040 kusambazwa kwa bei ya ruzuku mkoa wa Tanga

📌Mitungi 3,255 kusambazwa kwa bei ya ruzuku kata kwa kata  wilayani Muheza

📌Majiko ya gesi ni nishati safi na salama yenye kutunza mazingira na rafiki kwa afya ya watumiaji 

REA imeendelea na zoezi la usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku wilaya ya muheza kata kwa kata. 
Mitungi inapatikana kwa gharama nafuu, yanatunza mazingira, yanadumu na rafiki kwa afya ya watumiaji.







Post a Comment

Previous Post Next Post