📌Mitungi 26,040 kusambazwa kwa bei ya ruzuku mkoa wa Tanga
📌Mitungi 3,255 kusambazwa kwa bei ya ruzuku kata kwa kata wilayani Muheza
📌Majiko ya gesi ni nishati safi na salama yenye kutunza mazingira na rafiki kwa afya ya watumiaji
REA imeendelea na zoezi la usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku wilaya ya muheza kata kwa kata.
Mitungi inapatikana kwa gharama nafuu, yanatunza mazingira, yanadumu na rafiki kwa afya ya watumiaji.
Post a Comment