" WAKUU WA MAJESHI " SAMIDRC" WATETA NA KIONGOZI WA M23.

WAKUU WA MAJESHI " SAMIDRC" WATETA NA KIONGOZI WA M23.


NavBelnardo Costantine, Misalaba Media 

Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kupitia wakuu na viongozi wa kijesh wa  nchin za jumuiya  kusini Kwa Africa na  kundi la  M23   lililoiteka miji ya goma na Bukavu miezi miwili iliyopita .

Jana siku ya Ijumaa, Machi 28, walifikia makubaliano na kiongozi wa kijeshi wa kundui la M23 Jenerali Sultan Makenga mjini Goma  nchini  DRCcl kuhusu utaratibu wa kuondolewa kwa kikosi kilichotumwa huko mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Makubaliano hayo yalifanyika chini ya viongozi  na 
wakuu  wa majeshi ya  jumuiya  hiyo.
Viongozi walioshiriki 
  ni  Mkuu wa majeshi Africa Kusini, Jenrali Rudzani Maphwanya, mkuu wa majeshi ya Zambia, Jenerali Geoffrey Zyeele, wa Malawi, Meja Jenerali Saiford Kalisha na Meja Jenerali Ibrahim Michael Mhona wa Tanzania



Post a Comment

Previous Post Next Post