NavBelnardo Costantine, Misalaba Media
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kupitia wakuu na viongozi wa kijesh wa nchin za jumuiya kusini Kwa Africa na kundi la M23 lililoiteka miji ya goma na Bukavu miezi miwili iliyopita .
Jana siku ya Ijumaa, Machi 28, walifikia makubaliano na kiongozi wa kijeshi wa kundui la M23 Jenerali Sultan Makenga mjini Goma nchini DRCcl kuhusu utaratibu wa kuondolewa kwa kikosi kilichotumwa huko mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Makubaliano hayo yalifanyika chini ya viongozi na
wakuu wa majeshi ya jumuiya hiyo.
Viongozi walioshiriki
ni Mkuu wa majeshi Africa Kusini, Jenrali Rudzani Maphwanya, mkuu wa majeshi ya Zambia, Jenerali Geoffrey Zyeele, wa Malawi, Meja Jenerali Saiford Kalisha na Meja Jenerali Ibrahim Michael Mhona wa Tanzania
Post a Comment