Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kufanya uzinduzi wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya VETA. Maadhimisho hayo yanatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 18 hadi 21 Machi katika Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), jijini Dar es Salaam.
WAZIRI MKUU MGENI RASMI KWENYE UZINDUZI WA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA VETA
Misalaba
0
Post a Comment