Na Belnardo Costantine, Misalaba Media
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema majibizano mkali ya Ijumaa iliyopita kati yake na Donald Trump ni ya kujutiwa na hayakwenda jinsi ilivyotarajiwa.
"Ukraine iko tayari kuja kwenye meza ya mazungumzo na iko tayari kufanya kazi chini ya uongozi dhabiti wa Rais Trump,"
Zelensky amesema wakati wa mahojiano.
Hatua hii inakuja baada ya Marekani?kutangaza kusitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Safari ya Ladha: Ubora wa East African Spirits (T) Ltd
Post a Comment