
Jina langu Dullah, nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja aitwaye Nasra ambaye ana kama miaka 26, katika mapenzi yetu kuna kipindi tulikuwa tunaachana na kurudiana maana tulikuwa tunapendana sana.
Hata hivyo, sikuwahi kuwaza kama kuna siku mpenzi wangu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote anaweza kunifanyia jambo la kuniumiza moyo wangu pamoja na mwili wangu.
Nakumbuka mwezi uliopita alikuta SMS kwenye simu yangu ambazo nilikuwa nachati na mwanamke ambaye nilikuwa natembea naye kwa kificho.
Kutokana SMS zile zilikuwa wazi sana kuonyesha sisi tulikuwa ni wapenzi, nilishindwa kukataa kwamba sijafanya jambo na mwanamke yule.
Kwa kuonyesha najali hisia zake, niliamua kumuomba msamaha lakini alikataa na kuniambia atanionyesha na akachukua vitu vyake pale Ghetto akaondoka kwenda nyumbani kwao.
Baada ya siku mbili alinipigia simu na kuniambia ameamua kunisamehe, aliniuliza kama nipo nyumbani nikamjibu nipo, akaniambia anakuja kunisalimia. Alipokuja baada ya maongezi ya hapa na pale tukaamua kuchangamsha damu kidogo kama ilivyo kawaida yetu kila akiibuka Ghetto.
Sasa tatizo lilianza kama siku mbili mbele pale nilipoanza kuwasha sehemu za siri, nilienda Hospitali kupima nikaambiwa ni Kaswende ugonjwa ambao uliwahi kunitesa miaka ya nyuma hadi pale nilipata tiba kwa Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya.
Nilimpigia mpenzi wangu na kumwambia ninaumwa, alichojibu ni kwamba anajua hilo na yeye ndiyo kaniambuza kwa makusudi kama adhabu kwa kumsaliti.
Sikuwa na jinsi zaidi ya kuchukua simu yangu na kumpigia tena Kiwanga Doctors na kumuomba anisadie tena tiba ya Kaswende maana ugonjwa huo unanikosesha sana amani.
Basi alinihudumia kama ilivyo kawaida yake na baada ya muda niliweza kupona na sasa nimeamua kuwa nitatulia na mwanamke mmoja katika maisha yangu.
Kumbuka Kiwanga Doctors ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara na kukuondolea mikosi.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
SOMA ZAIDI
Post a Comment