Barcelona imeendelea kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu Uhispania (Laliga) kufuatia ushindi wa 1-0 nyumbani dhidi ya Real Mallorca na kusogea mpaka alama 7 mbele ya Mabingwa watetezi, Real Madrid.
FT: Barcelona 1-0 Mallorca
⚽ 46’ Olmo
MSIMAMO: #LaLiga 🔝 5️⃣
🥇 Barcelona — mechi 33 — pointi 76
🥈Real Madrid — mechi 32 — pointi 69
🥉 Atletico — mechi 32 — pointi 63
4️⃣ Bilbao — mechi 32— pointi 57
5️⃣ Villarreal — mechi 31 — pointi 52
Post a Comment