
Kwa kawaida ndoa huwa rahisi kwa mtu ambaye hajawahi kuingia kwenye ndoa yenyewe, kwa ufahamu wangu suala zima la ndoa ni ngumu sana haswa ukipata mpenzi asiyekuelewa kwa vyovyote vile ama aliye na kazi nzuri kukuliko wewe kama mume.

Mapenzi huwa na mambo mbalimbali ambayo watu wengi huwa hawayazungumzii kwa undani kwa kuogopa kuchekwa na marafiki wao wa karibu, wao husahau kwamba wanapozungumza msaada unaweza kuja kwa wakati wowote.
Niliishi na mke wangu Cate kwa furaha hadi wakati ambapo alianza kunionyesha makonde nisijua hata pa kukimbilia kila usiku. Alikuwa ni mwanamke wa kiluhya ambaye mwili ulikuwa umemkubali ajabu.
Alikuwa ni askari jela na mimi nilikuwa ni dalali wa kuuza maji mjini Kakamega, marafiki zangu walinikataza wakati moja kwamba mwanamke yule angenisumbua lakini yote sikutilia maanani. Mapenzi yalikuwa yamenoga na hakuna chochote nilikuwa nasikia isipokuwa Cate.
Kila mara alipotoka kazini nalifika nyumbani na kuanza vurugu, kwa vile nilikuwa na mwili mdogo alinizaba nisijue hata la kufanya kwa vile ningekimbilia kwa majirani wangenicheka na kuniita mwanaume bwege.
Maisha yale ya ndondi yalikuwa yamenifikisha ukingoni na sikuwa na chochote cha kufanya kwani upendo wangu kwa mke wangu ulikuwa kwenye wimbi lingine.
Wakati mwingine hata alinipa nguo zake nimfulie na hapo nilitilia maanani na kuzifua zikiwemo hata nguo zake za ndani, wakati mwingine majirani walimsifia kuwa alikuwa keshapata mume mzuri ambapo kwa mara nyingi waliniona hata nikufua mavazi ya mke wangu bila hata ya uoga na nisingefanya vile usiku ule ningelala kwenye baridi kali.
Mgeni alipoingia nyumbani mimi ndiye nilikuwa namwajibikia kupika chai na hata kumkaribisha nyumbani jambo lilikuwa kinyume na matarajio ya mila na desturi za Waafrika.
Ama kwa hakika Cate alikuwa amenikalia chapati na sikuwa na lolote la kufanya ili kujikwamua kutoka kwenye minyororo ile kwa ajili ya mapenzi yangu kwake.
Jambo lililonikosesha usingizi kabisa ni mke wangu kuninyima hata haki yangu ya tendo la ndoa, alikuwa mkali na kila mara nilipomuuliza alinifokea kweli na kichapo kingefuatia.
Hali hii iliniweka mimi kuanza kutamani wanawake wa watu na hata wakati mwingine nilichukua hatua mikononi mwangu na kujitosheleza kwa kutumia sabuni na mafuta ya nywele kwani nilikuwa nimekumbwa na tamaa ya kula chakula cha usiku.
Sikuwa na nafasi hata ya kwenda kutazama mpira na marafiki wangu kwani siku moja niliona cha mtema kuni niliporejea nyumbani nikiwa nimechelewa sababu ikiwa nilikuwa nimetoka kuangalia mchuano maridhawa kati ya Manchester United na Chelsea.
Sitasahau siku ile kwani uso wangu ulijaa makovu ya ndondi alizoninyorosha, siku moja nilimtembelea rafiki yangu Kanini na kumweleza shida nilizokuwa napitia kwenye ndoa ile. Hakusita na kusema yeye pia alikuwa na shida sampuli ile lakini Kiwanga Doctors aliizika kwenye kaburi na kusahau.
Siku iliyofuatia nilifunga safari na kuelekea kwa Kiwanga Doctors huko Migori, Kenya kwa ajili ya usaidizi. Niliezea shida nilizokumbana nazo na bila ya kupoteza muda wowote alinishughulikia na hapo akaniruhusu nirejee nyumbani.
Nilifahamu fika kwamba ningepigwa na mke wangu kwani nilikuwa nimechelewa kwani ilikuwa ni saa nne usiku nilipokuwa naingia kwenye nyumba. Nilishangaa kwani alinifungulia mlango kwa upole na kunikaribisha.
Aliniandalia maji ya kuoga na hapo nilipotoka maliwatoni chakula kilikuwa tayari. Alikuwa amevalia sketi fupi iliyonipa msukumo wa kumrukia na kuanza shughuli nzima.
Ama kwa hakika Kiwanga Doctors alikuwa kasha nipa mwamko mpya kwenye ndoa yangu. Baada ya chakula mapenzi yalinoga ajabu na hapo nilipata haki yangu ya ndoa na kutoa njaa ya miezi minne niliyokuwa nayo. Baadaye mke wangu aliniomba msamaha na maisha yetu yakawa ya kutamaniwa na majirani.
Kiwanga Doctors ni mwanamitishamba ambaye ana uwezo wa kukabili azma za uchawi, mizozo ya kimapenzi kama niliyokuwa nayo, kuongeza nguvu za kiume na mengineyo. Ana uwezo wa kutibu magonjwa kama vile ugonjwa wa kisukari, msukomo wa damu na kifafa kwa siku tatu pekee
Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.
Post a Comment