" BWENI LA DKT SAMIA KUCHOCHEA UFAULU SUMVE HIGH SCHOOL

BWENI LA DKT SAMIA KUCHOCHEA UFAULU SUMVE HIGH SCHOOL

Wanamke KINARA 2024 Wilaya ya Kwimba Mkuu wa Shule ya Sumve Sekondari na Sumve high school Clotilda Komenkesha amepongeza Rais Samia Suluhu Hassani Kwa kujenga Bweni la Dkt Samia Shuleni hapo lakini Pia ameweza kujenga Miundo mbinu Mbalimbali ambayo ndiyo kichocheo Cha Shule hiyoo kufanya Vizuri Kila Mwaka.

Akizungumza katika Mahafari ya 25 Komenkesha ,amesema wamejipanga kuhakikisha wanafanya Vizuri Mwaka huu Kwa Maana wanafunzi wao, wamewaandaa Kwa Nadharia na Kwa Vitendo hivyo hawatamwangusha Mhe,Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Post a Comment

Previous Post Next Post