" COMEBACK ZIMEGOMA, REAL MADRID YAVULIWA UBINGWA WA ULAYA

COMEBACK ZIMEGOMA, REAL MADRID YAVULIWA UBINGWA WA ULAYA

 Comeback Zimegoma, Real Madrid Yavuliwa Ubingwa wa Ulaya



Mabingwa watetezi, Real Madrid wamevuliwa ubingwa wa Ulaya kufuatia kipigo cha jumla cha 5-1 dhidi ya washika Mitutu, Arsenal kwenye robo fainali huku Bayern Munich ikisukumizwa nje ya michuano hiyo kufuatia kipigo cha jumla cha 4-3 dhidi ya Inter Milan.


FT: Real Madrid 🇪🇸 1-2 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal (Agg. 1-5)

⚽ 67’ Vinicius Jr

⚽ 65’ Saka

⚽ 90+3’ Martinelli


FT: Inter Milan 🇮🇹 2-2 🇩🇪 Bayern Munich (Agg. 3-4)

⚽ 58’ Martinez

⚽ 61’ Pavard

⚽ 52’ Kane

⚽ 76’ Dier

Post a Comment

Previous Post Next Post