Baada ya kukamatwa na jeshi la polisi jioni ya leo kariakoo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche ameandika kwenye ukurasa wake wa (X) ujumbe huu.👇
“Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.
Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.
Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo
vya habari, Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii.”_____John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
Post a Comment