" JENERALI NGUEMA RAIS MTEULE ,ASHINDA KWA KISHINDO

JENERALI NGUEMA RAIS MTEULE ,ASHINDA KWA KISHINDO


Na Belnardo Costantine, Misalaba Media 

Gaboni.
 Kiongozi wa Kijeshi wa Gabon na Rais wa mpito ambaye kwa sasa ni Rais Mteule., Jenerali Brice Oligui Nguema ameshinda kwa kishindo katika uchaguzi wa Urais nchini humo, baada ya kujipatia asilimia 90 ya kura kwa mujibu wa matokeo ya awali. 
 kutokana na uchuguzi uliofanyika jana.

Oligui, aliongoza mapinduzi dhidi ya utawala wa familia ya Bongo mwezi Agosti 2023 na kuahid!  kurejesha utawala wa kidemokrasia.

Hatahivyio ushindi wake unampa mamlaka ya miaka saba kuongoza taifa hilo lenye utajiri wa! mafuta, lakini linalokumbwa na umaskini uliokithiri, miundombinu duni na mzigo mkubwa wa madeni.
Wananchi na wafuasi; wanamuona kamahumo.wakosoaji tumaini jipya la mabadiliko nchini  humo.



Post a Comment

Previous Post Next Post