" JESHI LAZIMA JARIBIO LA MAPINDUZI DHIDI YA KAPTENI TRAORE

JESHI LAZIMA JARIBIO LA MAPINDUZI DHIDI YA KAPTENI TRAORE

 Jeshi Lazima Jaribio la Mapinduzi Dhidi ya Kapteni Traore


Maafisa kadhaa wa Jeshi walikamatwa kufuatia uvumi kuhusu Mapinduzi yaliyopangwa dhidi ya Kiongozi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore ambaye alichukua madaraka mwaka wa 2022.

Hii imezua hali ya wasi wasi miongoni mwa Wanajeshi, duru zinasema huku wafuasi kadhaa wa jeshi hilo wakiwashutumu Wanajeshi walio uhamishoni.

Kamanda wa zamani wa haki za kijeshi,Frederic Ouédraogo ni miongoni mwa maafisa waliokamatwa. Traore alibadilisha haraka maafisa waliokamatwa bila kutaja idadi yao.

Maafisa kadhaa wakuu wa Kijeshi tayari wamebadilishwa na Kapteni Ibrahim Traore ambaye ni Rais wa mpito wa nchi hiyo ingawa idadi kamili ya waliokamatwa bado haijafahamika.

1 Comments

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Post a Comment

Previous Post Next Post