WANAANZA SIMBA SC WENGINE WANAFUATA "MAMBO KADHAA WALIYO AHIDI KAMPUNI YA JAYRUTTY KWA SIMBA KWENYE MKATABA WAKE
Kuna gawiwo la 5.6 B kila mwaka na Ongezeko la 10% kwa kila mwaka.
FAIDA ZA KIMKATABA.
1. Ujenzi wa Uwanja wa Bunju (Watu Elf10 hadi 12).
2. Gari la IRIZAR .
3. Media production.
4. Ujenzi wa Ofisi Mpya
5. Kukuza Vipaji ( pesa cash kutolewa)
6. Pre seasons sponsorship
7. Medica room
8. Simba Day ( pesa itatolewa cash m100)
9. Motisha kwa wachezaji ( M470 cash)
10. Jezi za brand kubwa dunia
Post a Comment