MAMENEJA SHINYANGA TUKUTANE 10 MEI LEVEL ONE
Mameneja wa Shinyanga mpo tayari?
Tukio kubwa na la kipekee limewadia!
SHINYANGA MANAGER’S CONNECT
Ni siku ya tarehe 10 Mei pale Level One Shinyanga, kuanzia saa 1:00 jioni.
Tutakaa pamoja, tutakula pamoja, tutafahamiana na zaidi ya yote — tutapeana connection!
Kama wewe ni meneja wa taasisi, kampuni au biashara yoyote — usikose tukio hili la kipekee.
Ni nafasi ya kujenga mahusiano ya kikazi, kupanua wigo wa fursa, na kufurahia usiku wa heshima.
Jiunge nasi sasa!
Pigia simu namba: 0762 421 248 kuthibitisha ushiriki wako.
Shinyanga Manager’s Connect – Mahusiano huanza kwa kukutana.
Post a Comment