" MNEC LEONARD MAARUFU KAMA (MANGUZO) AWATAKA WADAU KUTEMBELEA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA

MNEC LEONARD MAARUFU KAMA (MANGUZO) AWATAKA WADAU KUTEMBELEA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA

 
Mgeni Ramsi MNEC Leonard Mahenda maarufu kama (Manguzo) amewataka watanzania kutembelea Vituo vya kulelea watoto yatima Pale wanapopata nafasi Ili kuweza kuungana Nao na kuwatia Moyo.

Akizungumza Jana katika kituo Cha kulelea watoto yatima na wanaotoka kwenye Mazingira Magumu Inuka angaza helping hands Organization Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza alisema tunawajibu Mkubwa wa kuwadhamini watoto hawa na kuwatia Moyo.

Leopard alitoa WildChair 37 Kwa ajiri ya kuwasaidia watoto wenye Mahitaji Maalum Pamoja na kula nao Chakula Cha Mchana.

Naye Mkurugezi wa kituo hicho Cha kulelea watoto yatima Eva Samara alitoa Pongezi Kwa Mhe, Mnec Kwa Namna ambavyo amekuwa akijitoa kuwasaidia watoto hawa Samara alisema siyo Kwa Mara ya kwanza Mnec uyoo kutembea kwenye hicho kituo Kila Alipokuwa alikipata nafasi amekuwa akitembelea na kutoa vitu Mbalimbali "alisema"

Moja ya Mtoto aliyepata Wild Chair Daudi Eliya alimshukuru Mnec uyooo lakini pia alitoa Pongezi zake Kwa Chakula na Kusema kuwa huu ni upendo wa aina yake hakika tumefarijika,na wengine waige mfano wa uyuu Baba



Post a Comment

Previous Post Next Post