" “Mwamechukua vyombo vyangu vyote vya ndani kisa madeni” simulizi

“Mwamechukua vyombo vyangu vyote vya ndani kisa madeni” simulizi






Naitwa Chazz kutokea Mbeya, kupindi cha nyuma nilikuwa nafanya kazi na kupokea kiasi kikubwa cha mshahara ila bado madeni yaliniandama sana, ilifika wakati nikahisi ya kuwa nimekuwa mtumwa wa kufanyia watu kazi.

Hiyo ni kwa sababu kila nilipopokea mshahara wote uliishia kwenye kulipa madeni na mimi kubakiwa na nauli tu ya kwenda kazini.

Kwa sababu hiyo, nilikuwa nalazimika tena kukopa baadhi ya vitu kama unga, mchele, sukari, gesi, mafuta ya kula na hata fedha ili kuweza kuendesha maisha yangu.

Kufika mwisho wa mwezi ambapo napokea tena mshahara, deni linakuwa limeongezeka kwa kiasi kikubwa hivyo najikuta mshahara ukiisha ndani ya siku mbili.

Ulifika wakati nikawa namlipa yule mtu ambaye anaonekana kunidai sana kwa fujo, kuna muda niliogopa hata kutembea mtaani maana kila kona yenye dukani nilikuwa nadaiwa.

Baada ya madeni kuwa mengi niliamua kuhama kwa siri usiku na kuhamia mtaa wa jirani, wadeni wangu waliamua kunifuata huko na kunikamatwa na kuchukua vitu vyangu vya ndani kama TV, sofa, meza na viti.

Hata hivyo, vitu hivyo havikutosha kulipa madeni ninayodaiwa, ilinibidi niende ofisini na kuomba kupatiwa mshahara wa miezi mitatu ili kulipa madeni yalikuwa yananikabili.

Nashukuru Bosi wangu alinielewa na kuniamini kisha akanipatia fedha hizo, nililipa madeni na fedha zote zikaisha. Baada ya kubakia mtupu ilinibidi nihamie kwa kaka yangu nikaishi naye kwa muda.

Nilimueleza kuwa tatizo langu lilikuwa ni madeni kiasi kwamba nimeshindwa kufanya jambo lolote la kimaendeleo. Kaka yangu aliniambia nichukue namba ya Kiwanga Doctors katika simu yake kisha nimpigie na kumueleza kila kitu.

Nilifanya hivyo bila kusita, nashukuru Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya alinisikiliza na kuniambia kuanzia sasa itakuwa ni historia kwangu kudaiwa, nakumbuka nilikaa na kaka yangu kwa miezi miwili na kurejea kwangu nikiwa sina deni lolote na mtu.

Tangu hapo nilikuwa napokea mshahara wangu na kuanza nao matumizi yangu, kuna kipindi mshahara ulikuwa unatoka na kukuta ule mwanzo bado upo tu. Nilikuwa naweza kukaa hata miezi miwili sijaenda Benki kuchukua mshahara wangu maana kipindi hiki sikuwa na madeni sehemu yoyote ile.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

SOMA ZAIDI

Post a Comment

Previous Post Next Post