" NABI AIBANDUA MAMELODI CHUMA 2 -1 NEDBANK CUP

NABI AIBANDUA MAMELODI CHUMA 2 -1 NEDBANK CUP

 Nabi Aibandua Mamelodi Chuma 2 -1 Nedbank Cup



Timu ya Kaizer Chiefs inayonolewa na kocha Nassredine Nabi imeichapa Mamelodi Sundown magoli 2-1 kwenye mchezo wa nusu fainali ya NEDBANK CUP

Mamelodi ilikuwa ya kwanza kupata goli dakika 45+5' za kipindi cha kwanza kupitia kwa Mokoena lakini Kaizer Chiefs walirudi kipindi cha pili na kusawazisha kupitia kwa Duba dakika ya 57 na baadae waliongeza goli la ushindi dakika ya 89 kupitia kwa Du Preez.

Kwa matokeo haya Kaizer Chiefs watacheza fainali ya NEDBANK CUP na Orlando Pirates

Post a Comment

Previous Post Next Post