Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM),
Jokate Mwegelo, amewasili Wilayani Kahama kushiriki tamasha la Mwanamke Chuma
linalofanyika leo Aprili 12, 2025 katika Ukumbi wa Malex Hall, Manispaa ya
Kahama.
Jokate anashiriki tamasha hilo kama mgeni rasmi,
ambapo wanawake waliotoa mchango mkubwa katika jamii wanatarajiwa kupewa tuzo
maalum kama sehemu ya kutambua juhudi zao.

Post a Comment