Na Belnardo Costantine, Misalaba Media
KENYA.polisi wanaendelea na uchunguzi baada ya Askari polisi aliye jiua baada ya kuwauua watoto wake wawili na mmoja wa jama yake katika eneo la Kakdhimu eneo Bunge la Rachuonyo, kaunti ya Homa Bay, Magharibi ya Kenya.
Kwa mujibu wa ujumbe uliopatikana eneo la tukio ulionyesha mzozo wa nyumbani kama sababu ya kuwaua watoto hao na kujitoa uhai.
hata hivyo 2lwanafamilia wa askari polisi huyo wamethibitisha kwamba afisa huyo alikuwa anakabiliwa na migogoro ya kifamilia..
Post a Comment