" RAIS DKT SAMIA APONGEZWA KWA KUWA KINARA WA MAENDELEO

RAIS DKT SAMIA APONGEZWA KWA KUWA KINARA WA MAENDELEO

Diwan wa viti Maalum Tarafa ya Ngulla Wilaya ya Kwimba Mhe,Felister Zegu ameipongeza Serikali ya awanu ya Sita Chini ya Dkt Samia Suluhu Hassani Kwa Namna alivyokuwa kinala wa Maendeleo Nchini Tanzania 

Zegu amesema kupitia Mhe,Rais wao kama Wanawake wamepata ujasiri Mkubwa wa kujiamini kufanya mambo makubwa hivyo ni vyema waendelee kuaminiwa 

Akizungumza katika Mahafari ya 25 ya Sumve high school  Mhe, Zegu amewataka wanawake wa Tarafa ya Ngulla kuchangamkia Fursa ya kugombea Nafasi Mbalimbali ambapo amesema Kila Baada ya Miaka5 Tanzania uwa Inafanya Uchaguzi ambapo Mwaka huu Uchaguzi unatarajiwa kufanyika Mwaka huu Mwezi wa 10.



Post a Comment

Previous Post Next Post