SHINYANGA MANAGER'S CONNECT, NI TUKIO MUHIMU LA MWAKA
📍Mameneja wa Shinyanga mpo tayari?
Tukio kubwa la mwaka limewadia!
Ni wakati wa kushuhudia upendo wa mameneja — tukikaa pamoja, tukila pamoja, tukifahamiana na KUSHARE CONNECTION.
TAREHE: 10 Mei
MUDA: Saa 1:00 usiku
MAHALI: Level One, Manispaa ya Shinyanga
Usikose! Kama wewe ni meneja na uko tayari kuungana nasi kwenye Shinyanga Manager’s Connect, wasiliana nami sasa:
Simu: 0762 421 248
Hii siyo tu Connection… ni zaidi ya hapo!
Post a Comment