Wekundu wa Msimbazi Simba, imewekeza nguvu zaidi kwa kiungo wa kimataifa kutoka Ivory Coast Kipré Tiagori Emmanuel Junior Zunon (25) kwaajili ya kumpata msimu ujao.
Kipre ambaye alijiunga na MC alger ya nchini Algeria akitokea Azam FC, mkataba wake na MC Algeria unatazamia kutamatika June 30th 2025.
Joshua Mutale anaweza akaonyeshwa mlango wakutokea msimu ujao na nafasi yake ikachukuliwa na Kipre Jr.
Post a Comment