" SIMBA YALAMBA DILI LA BILIONI 38 UTENGENEZAJI WA JEZI ZAKE

SIMBA YALAMBA DILI LA BILIONI 38 UTENGENEZAJI WA JEZI ZAKE

 SIMBA Yalamba Dili la Bilioni 38 Utengenezaji wa Jezi zake

SIMBA Yalamba Dili la Bilioni 38 Utengenezaji wa Jezi zake

Kampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC ambapo klabu hiyo imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi na vifaa vyenye nembo ya Simba.

Kila mwaka Simba itapata gawiwo la bilioni 5.6 B na ongezeko la asilimia 10 kwa kila mwaka.

Aidha faida nyingine za mkataba huo ni pamoja na Ujenzi wa Uwanja wa Bunju (Watu Elf10 hadi 12), Gari la IRIZAR, Media production, Ujenzi wa Ofisi Mpya, Kukuza Vipaji ( pesa cash kutolewa), Pre seasons sponsorship (maandalizi ya msimu mpya), Medical room, Simba Day ( pesa itatolewa cash m100), Motisha kwa wachezaji ( M470 cash) na Jezi za brand kubwa dunia.

Post a Comment

Previous Post Next Post