" TAARIFA MPYA KUTOKA TANESCO, MAENEO HAYA YATAKOSA UMEME KWA MUDA...

TAARIFA MPYA KUTOKA TANESCO, MAENEO HAYA YATAKOSA UMEME KWA MUDA...

 


Shirika la Umeme Tanzania Tanesco linawataarifu wateja wake wote wa mkoa wa Mtwara na Lindi kuwa kutakuwa na matengenezo kinga ya mitambo katika kituo cha kuzalisha umeme cha Mtwara 1 matengezo hayo yanalenga kuimarisha hali ya mtambo na kuiongezea ufanisi wa mtambo.

Kutokana na zoezi hilo wateja wa mkoa ya Lindi na Mtwara watakosa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti kwa siku zote za matengezo kama ifuatavyo:

Siku ya Jumatano, Tarehe 23 Aprili 2025 saa moja asubuhi hadi sasa kumi na moja. Baadhi ya maeneo ya mikoa ya Lindi na Mtwara yaathirika.

Kwa hiyo watanzania wote na wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ambao waathirika waombwa msamaha kwa usumbufu wowote utaojitokeza kwa wakati huo.

Mwisho ni kuwa TANESCO imeomba radhi kwa wateja wake kwa usumbufu wowote.

Asante kwa kusoma taarifa hii, unaweza kutoa maoni yako ili kuboresha uandishi wetu, maoni yatolewe kwenye nafasi ya kutoa maoni iliyopo hapo chini.

Post a Comment

Previous Post Next Post