Klabu ya Simba SC imeendeleza rekodi yake ya kutisha kwenye michuano ya kimataifa baada ya kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup), kwa ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al Masry ya Misri.
Katika Mchezo huo uliochezwa Dimba na Mkapa Simba hadi wanamaliza Dakika 90 walikuwa wameshinda Magoli 2-0, na Mchezo uliochezwa ugenini Simba walifungwa Goli 2-0 ,ambapo Timu Moja inatakiwa iende Nusu Fainal ndipo ikapigwa Mikwaju ya Penati.
Post a Comment