" TRY AGAIN: Ramani ya Kubeba Ubingwa wa Afrika Tumetoka Nayo Toka 2027

TRY AGAIN: Ramani ya Kubeba Ubingwa wa Afrika Tumetoka Nayo Toka 2027

 TRY AGAIN: Ramani ya Kubeba Ubingwa wa Afrika Tumetoka Nayo Toka 2027


TRY AGAIN 🗣"Lengo ni kubeba ubingwa wa Afrika na ramani hii tumetoka nayo tangu mwaka 2017, hii ndio faida ya uwekezaji, tungefika vipi leo hapa kuwa klabu namba nne Afrika kama mabadiliko na Uwekezaji haujaleta matunda?, mabadiliko yameleta matunda ambayo pengine wana Simba hawayaoni ila hii ndio faida yake ambayo tumeisimamia mpaka kufikia hapa tulipo."

VIPI KUHUSU MZABUNI MPYA WA JEZI SIMBA SC? 👇

🗣"Wakati mwaka 2017 naingia madarakani Simba SC ilikuwa inaingiza million 20 kutoka kwenye mkataba wa jezi na sasa unaweza kuona ni ramani gani tumetengeneza kuanzia kwa Vunjabei, wakina Sandaland na kuja hapa ni mikakati yetu tumeitengeneza kuhakikisha Simba Sports Club inajitegemea, Fedha hizi zinaenda kusaidia kwa kiasi kikubwa kwenye nguvu ya kijitegemea na kumpunguzia mzigo mkubwa Rais wa timu yetu ya Simba SC, MO Dewji ambao anao maana Bilioni 5.6 kwa mwaka ni pesa nyingi na sasa tumekuwa klabu ya mfano."

Post a Comment

Previous Post Next Post