Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele
akizungumza wakati akiongoza kikao cha pamoja kati ya Tume na wadau wa uchaguzi
kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza ambacho kililenga kujiridhisha
iwapo taarifa zilizopo kwenye maombi yaliyowasilishwa ya kuligawa jimbo la Magu
ni sahihi kuhusu jimbo husika.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akiongoza kikao cha pamoja kati ya Tume na wadau wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza ambacho kililenga kujiridhisha iwapo taarifa zilizopo kwenye maombi yaliyowasilishwa ya kuligawa jimbo la Magu ni sahihi kuhusu jimbo husika. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ndg. Greyson Ocardo.Baadhi ya washiriki wa mkutano wa pamoja kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza ambapo Tume ilikutana nao ili kujiridhisha iwapo taarifa zilizopo kwenye maombi yaliyowasilishwa ya kuligawa jimbo la Magu ni sahihi kuhusu jimbo husika. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa pamoja kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza ambapo Tume ilikutana nao ili kujiridhisha iwapo taarifa zilizopo kwenye maombi yaliyowasilishwa ya kuligawa jimbo la Magu ni sahihi kuhusu jimbo husika. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akiongoza kikao cha pamoja kati ya Tume na wadau wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza ambacho kililenga kujiridhisha iwapo taarifa zilizopo kwenye maombi yaliyowasilishwa ya kuligawa jimbo la Magu ni sahihi kuhusu jimbo husika. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Magu, Ndg. Joshua Nassari na katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ndg. Greyson Ocardo.
Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ndg. Greyson Ocardo (kulia) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Ndg. Joshua Nassari
Mbunge wa jimbo la Magu
Mhe. Boniventura Destery Kiswaga akizungumza wakati wa mkutano huo ambapo aliunga mkono hoja ya ugawaji wa jimbo hilo kama ilivyowasilishwa na Katibu Tawala wa Mkoa kwa Tume.
Baadhi ya washiriki ambao ni wadau wa Uchaguzi wakichangia mada wakati wa mkutano wa pamoja kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza ambapo Tume ilikutana nao ili kujiridhisha iwapo taarifa zilizopo kwenye maombi yaliyowasilishwa ya kuligawa jimbo la Magu ni sahihi kuhusu jimbo husika. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana.
Na Mwandishi wetu, Magu
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Aprili 23,2025 ameongoza kikao cha pamoja kati ya Tume na Wadau wa Uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu, Mkoani Mwanza kwa lengo la kujiridhisha iwapo taarifa zilizopo kwenye maombi yaliyowasilishwa ya kuligawa jimbo la Magu ni sahihi kuhusu jimbo husika.
Post a Comment