Kwa unyenyekevu na shukrani, nimepokea ujumbe wa hayati Papa Francisko kwangu, kwa nchi yetu na kwa Watanzania wote, aliouandika siku chache kabla Mwenyezi Mungu hajamwita kwake, na kumkabidhi Balozi wa Vatican hapa nchini, Askofu Mkuu Angelo Accattino.
UJUMBE WA MWISHO WA HAYATI PAPA FRANCISKO KWA WATANZANIA
Misalaba Media
0
Post a Comment