" UTEUZI NA MABADILIKO KATIKA UONGOZI WA SMAUJATA MKOA WA SHINYANGA

UTEUZI NA MABADILIKO KATIKA UONGOZI WA SMAUJATA MKOA WA SHINYANGA

 ​Mwenyekiti wa SMAUJATA Taifa, Dr. Sospeter Mosowe Bulugu, amefanya uteuzi na mabadiliko madogo ya viongozi katika Halmashauri sita za Mkoa wa Shinyanga, kwa lengo la kuimarisha uongozi na utendaji ndani ya mtandao huo wa mashujaa wa kupinga ukatili nchini. Uteuzi huu ni kama ifuatavyo:​


HALMASHAURI YA MSALALA

  • Mwenyekiti: Fortunatha Mishamo Shilengela

  • Makamu Mwenyekiti: Abas Petro

  • Katibu: Nives Gregory Nyoni

  • Naibu Katibu: Raphael Constantine Lucas Luhangina

  • Mwenyekiti Idara ya Itifaki, Uenezi na Uanachama: Daniel Kesyo

  • Mwenyekiti Idara ya Watu Wenye Ulemavu: Yunis Ezekiel

  • Mwenyekiti Idara ya Mila na Desturi: Rehema Nickson

  • Mwenyekiti Idara ya Mazingira: Ester Joseph Nyanda

  • Mwenyekiti Idara ya Afya: Thomas Nyanda


HALMASHAURI YA KISHAPU

  • Mwenyekiti: Tayaya Rashid Mazuru

  • Makamu Mwenyekiti: Joseph Emmanuel

  • Katibu: Joseph Paul Mayunga

  • Naibu Katibu: Boaz Katala

  • Mwenyekiti Idara ya Tathmini na Ufuatiliaji: Kelvin Charles

  • Mwenyekiti Idara ya Jinsia: Suzana Shija Ngussa

  • Mwenyekiti Idara ya Nidhamu na Maadili: Teddy Rutta


MANISPAA YA SHINYANGA

  • Mwenyekiti: Meryester Nyalusanda

  • Makamu Mwenyekiti: Kabizi Ndunye Gombo

  • Katibu: Hasna R. Maige

  • Naibu Katibu: Baraka Edward Ndahani

  • Mwenyekiti Idara ya Itifaki, Uenezi na Uanachama: Mapambano Azizi Costantine

  • Mwenyekiti Idara ya Jinsia: Vedastina Nyakonga

  • Mwenyekiti Idara ya Afya: Mbonimpa S. Wakachira


HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA

  • Mwenyekiti: Dorina Peter Okanga

  • Makamu Mwenyekiti: Bonifas Pantaleo

  • Katibu: Simon Patrick Maganga

  • Naibu Katibu: Vaileth Asborn Mundeva

  • Mwenyekiti Idara ya Jinsia: Stella Bayugile

  • Mwenyekiti Idara ya Tathmini na Ufuatiliaji: Juma Kaimu Mpei

  • Mwenyekiti Idara ya Mila na Desturi: Helena William Maganga

  • Mwenyekiti Idara ya Michezo na Burudani: Elias Zephani

  • Mwenyekiti Idara ya Nidhamu na Maadili: Khadija Iddy Saghal

  • Mwenyekiti Idara ya Habari na Mawasiliano: Nehema Sawaka


HALMASHAURI YA USHETU

  • Mwenyekiti: Zamda Issa Mabere

  • Makamu Mwenyekiti: Dr. Nua Mkumbo

  • Katibu: Joseph Ben Saida

  • Naibu Katibu: Mariam Sindi Siwale

  • Mwenyekiti Idara ya Nidhamu na Maadili: Anastazia Sospeter Mwingulu

  • Mwenyekiti Idara ya Jinsia: Sada Salehe Hekulinyangwa


HALMASHAURI YA SHINYANGA DC

  • Mwenyekiti: Alexander Msami Salanga

  • Makamu Mwenyekiti: Joseph Kulwa Masunga

  • Katibu: Chrispine Kulwa Christian

  • Naibu Katibu: Editha John Joseph

  • Mwenyekiti Idara ya Elimu: Lucy James Mwandu

  • Mwenyekiti Idara ya Tathmini na Ufuatiliaji (M/E): Saguda Magawa

  • Mwenyekiti Idara ya Jinsia: Cathelin Daud Nangi

  • Mwenyekiti Idara ya Nidhamu na Maadili: Esther Masele Maige

  • Mwenyekiti Idara ya Itifaki, Uenezi na Uanachama: Wilson Michael Linjachi


NB:
Ndugu Mashujaa, uteuzi huu wa viongozi ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha mtandao wa wazalendo wachapakazi wanaoitumikia nchi yao bila kutanguliza maslahi binafsi. Tunatakiwa kuendelea kupaza sauti dhidi ya ukatili katika jamii.

Utendaji wa kazi unaanza rasmi sasa.

KATAA UKATILI, WEWE NI SHUJAA

Post a Comment

Previous Post Next Post