" WATANZANIA WAOMBWA KUJITOKEZA KUDHAMINI MATAMASHA YA KUOMBEA AMANI KWA TAIFA

WATANZANIA WAOMBWA KUJITOKEZA KUDHAMINI MATAMASHA YA KUOMBEA AMANI KWA TAIFA

Wadau mbalimbali na Watanzania wameobwa kujitokeza kwa wingi kudhamini Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu litakalofanyika katika mikoa 26

Akizungumza na waandishi wa Habari April 2, Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion , Alex Msama amesema tamasha hilo halitakuwa na kingilo ili kila mtanzania aweze kushiriki kwenye kuliombea taifa huku maandilizi yakiwa yanaendele vizuri

Msama ameongeza kuwa tamasha litaanzia katika mkoa wa Dar es salaam na kwenda mikoa mingne na limehusisha Wachungaji, Maskofu wa mikoa mbalimbali katika kuhakikisha wanaombea amani kulekea uchaguzi Mkuu.

Aidha amesema waimbaji mbalimbali wakubwa kutoka nje ya nchi na Ndani ya nchi watakuwepo kwenye tamasha la Kuombea Uchaguzi.

"Tutatangaza tarehe na eneo ambalo tamasha hili litafanyika hivi karibuni kwa mkoa wa Dar es salaam ambapo tamasha hili ndipo litakapo anzia" amesena Masama

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Barazaa Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es salaam, Mch Emmanuel Mwasota amesema tamasha hilo lipo kwajili






Post a Comment

Previous Post Next Post