Na Mwandishi wetu, Misalaba Media
Kaimu Mkuu wa Shule ya Messa secondary School amewataka wazazi kuendelea kuamini, Shule za Messa Kwa maana zimekuwa zikifanya Vizuri nani Shule kongwe.
Akizungumza katika Mahafari ya kidato Cha Sita ambayo ambayo ni Mahafari ya 9 ambayo yamefanyika hivi Punde, Maneno Mabula, alisema uwepo wa hizi Shule zimekuwa na Mchango Mkubwa Kwa Wana Mwanza na Wa Tanzania kiujumla Kwa Kutoa Elimu Bora.
Enosy faustine Ambae ni Mzazi wa Mhitimu wa kidato Cha sita amepongeza, Shule hiyo Kwa jinsi wanavyokuwa wanapata Ufaulu mzuri Kila Mwaka, lakini pia Faustine ametoa Pongezi Kwa Walimu wa Shule Iyooo jinsi wanavyowalea watoto wao.
Chausiku Saidi, Ambaye ni Mhitimu wa Kidato Cha sita amesema Wana Imani,watashinda kwa Daraja A" Kwa maana Walimu wao wamewafundisha Kwa Nadharia na Vitendo Ikumbukwe, kuwa kidato Cha sita wanatarajia kufanya Mtihani Mwaka Huu Mwezi wa 5.
Post a Comment