WAZIRI MKUU MAJALIWA AKITETA NA NAIBU WAZIRI KATAMBI BUNGENI DODOMA
Misalaba0
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi bungeni jijini Dodoma leo Aprili 8, 2025 katika kikao cha kwanza, mkutano wa 19 wa Bunge la 12.
Post a Comment