CPA Suruo aweka mikakati ya kuendelea kuboresha huduma bora za usafiri ardhini
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imesema kuwa katika Serikali ya awamu ya sita imepata mafanikio kutokana na maono ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan
Akizungumza na Wahariri na Waandishi wa Habari katika Mikutano ya Taasisi za Umma inayoratibiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo CPA Habibu Suruo amesema katika kipindi cha Minne wameweza kuboresha huduma ya usafiri ikiwa ni pamoja kuanzisha safari za Usiku zilizotolewa zuio za safari hizo mwaka 1994.
Amesema mafanikio yametokana na ushirikiano kutoka kwa wadau kwa kuweka mazingira rafiki yenye ushirikishaji katika kusimamia usafiri wa ardhini.
Amesema wadau hao ni watoa huduma katika sekta ya usafiri ardhini ambao TABOA, TAT, TATOA, TAMSTOA, TRFA, AKIBOA, KIBOA, DARCOBOA, UWADAR, KIBABOT ambao wate wanasimamiwa
LATRA katika ofisi 26 katika mikoa yote ya Tanzania Bara.
Aidha amesema katika kipindi hiki wataenzi
ushirikiano uliopo katika kutekeleza majukumu ya
Udhibiti Usafiri Ardhini Sura 413 ili kudhibiti huduma za usafiri kwa njia ya Reli katika kuendelea na juhudi za kusogeza huduma za LATRA karibu na wananchi katika kujenga Taifa lenye umoja, mshikamano, utulivu na amani ya kudumu.
Hata hivyo amepongez Wamiliki wa vyombo vya usafiri ardhini
Mtwara,Ifakara(Morogoro), Korogwe (Tanga), Same (Kilimanjaro), na Nzega na miji na wilaya nchini ikiwa ni pamoja ambapo ofisi kumi (10) na taratibu za kuanzishaOfisi zingine tano(5)zinaendelea katika maeneo ya Gongo la wananchi kwa kufungua ofisi katika maeneo ya kimkakati kwenye baadhi Halmashari.
Aidha amesema Serikali ya Awamu ya Sita watasimamia usafiri wa wa waya kwa weledi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu zilizopo.
Amesema kwa kutambua umuhimu wa usafiri katika wamewezesha kuanzisha huduma katikac mikoa
Dar es Salaam Gongolamboto kwenda Mkuranga (Pwani), Chunya (Mbeya), Mufindi (Iringa), na maeneo ambayo ni Makambako(Njombe), Kahama(Shinyanga), Masasi,
Nyakanazi (Kagera).
Hata huvyo Suruo amesema dira ya msingu kutafuta njia bora za kuongeza thamani ya huduma bora ya usafiri wa ardhini.
"Tunafanya kazi kwa pamoja ili kufikia malengo yetu
Serikali ya Awamu ya Sita chini yaUongozi waMhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan"amesema
Amesema LATRA ina wajibu wa kutoa, kuhuisha, kusitisha na/au kufuta leseni ,
ukuzaji wa ushindani kwa ajili ya ustawi waTanzania.
Katika kipindi miaka minne wametoa leseni la ongezeko 108,658 sawa na aongezeko la asilimia 48.
Aidha wameongeza huduma usafiri kwa kuanzisja safari mpya za
Toangoma –Pugu Steshenikupitia barabara ya Kilwa, Nyerere
viii)Mvuti -Machinga Complexna Tabata Segerea,Gerezani -Bunju Sokonikupitia Barabara ya Bagamoyo,
Mbezi Luis–Kisarawe kupitia barabara ya Malamba Mawili, Banana katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Amesema LATRA imeendelea kuboresha usafiri wa umma katika miji na majiji makubwa ikiwa kuboresha udhibiti wa bodaboda, kutatua migogoro ya wadau katika maeneo hayo,
kufika maeneo yasiyofikika na kurefusha baadhi ya njia kwa lengo la kuumpunguzia
gharama za usafiri mwananchi.
Amesema
madereva 4,563 walifaulu mitihani ya LATRA kati ya 9,191 waliofanya huku
Mikoa yote 26 Tanzania Bara hadi kufikia 31 Machi, 2025 madereva 33,778 wamesajiliwa na kupata leseni Kati ya hao madereva 8,172 wamesajiliwa kwenye Mfumo na waalifaulu na
mitihani huo (sawa na ufaulu wa asilimia 49.65) na kupatiwa vyeti vya kuthibitishwa.
Kufuatilia Mwenendo wa Mabasi (VTS) na kupatiwa Kitufe cha Utambuzi wa Dereva.
Amesema Usimamizi wa Usafiri wa Mabasi usiku na Mchana (24/7) imekuwa ikitoa mtihani
ikiwasajili madereva na baadae kuwapatia vyeti vya kuthibitishwa
Muhtasari wa taarifa za madereva waliofanya mitihani na kufaulu/kuthibitishwa katika
Kuthibitishwa.
Hata hivyo amesema usimamizi wa mabasi nyakati za siku. LATRA ilishiriki katika zoezi la kufanya maandalizi ya kuanza kwa safari za
safari za saa 24 wako tayari pia kuzingatia Sheria, Kanuni na Miongozo kuhusu
Kufuatilia Mwenendo wa Mabasi (VTS) unaofanyakazi kwa saa 24 usiku na mchana (24/7) kuanzia1 Oktoba, 2023.
Post a Comment