" About us

About us

MISALABA MEDIA – HABARI KWA MASLAHI YA UMMA.

MISALABA MEDIA ni chombo cha habari kinacholenga kuangazia changamoto za jamii na kusaidia kupatikana kwa suluhisho. Hatubagui wala kuegemea upande wowote - tunawakilisha kila mtu kwa haki na ukweli.

Jina "Misalaba" linamaanisha changamoto mbalimbali za kijamii ambazo tunazibeba na kuzitafutia suluhisho kupitia uandishi wa habari wa kina na wenye mwelekeo wa maendeleo. Tunatoa habari kwa uwazi na uadilifu, tukisimamia maslahi ya jamii kwa ujumla.

MISALABA MEDIA ni sauti ya watu wote, bila kujali imani, jinsia, au itikadi. Lengo letu ni kuhakikisha kila habari tunayoripoti inaleta mabadiliko chanya kwa jamii.

Mawasiliano:

🌍 Tovuti: www.misalabamedia.com
📧 Barua pepe: misalabamedia@gmail.com
📞 Simu: 0745 594 231


Post a Comment